[Intro]
[Drop]
(Instrumentals)
Nikiona-
Zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Nikiona-
Zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
(Ma-Feeling Make It)
[Verse 1: Abdu Kiba]
Kama kununa
Nishanuna sana
Ni muda wa kucheka, ah
Kama kulia, nishalia sana
Ni muda wa kucheka, ah
Kama kununa
Nishanuna sana
Ni muda wa kucheka, ah
Ni..., sha, lia sana
Ni muda wa kucheka, ah
[Verse 2: Abdu Kiba]
Shida za nini?
We usikonde
Mwembamba ka mimi
Au kibonge
Njoo tuchome maini
We usikonde
Tararira-tara
Aye'
[Pre-Chorus]
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
(Na starehe)
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
(Na starehe)
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
(Na starehe)
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
Oh, oh, oh
Nikiona-
Zinani pandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Ah, ah, ah
Nikiona-
Zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Yo!
[Verse 3: Ali Kiba]
Muda, muda
Muda ndio huu
Muda
Wa kucheka
Nacheka
Nachеka
Kucheka
Nacheka
Huu muda
[Verse 4: Abdu Kiba & Ali Kiba]
Nishachoka sana, na-na-na
Huu ndio muda wa kucheka
Na maokoto ya mwеzi (Eh)
Mwezi, (Eh, ah)
Mwezi, (Mwezi)
Na Enjoy
Oh, baba ?
[Pre-Chorus]
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
(Na starehe)
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
(Na starehe)
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
(Na starehe)
Sasa ni tarehe, za mshahara na starehe
Oh, oh, oh
Nikiona-
Zinani pandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
Ah, ah
Nikiona-
Zinanipandisha midadi
Nikiona pesa zinanipandisha midadi
[Outro: Ali Kiba]
Oh, oh, oh
Pandisha midadi...
Ah...
The Mix...
Killer!