Video Utapendaje Wawili de Abdul Misambano 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Abdul Misambano y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Utapendaje Wawili » Abdul Misambano Letra

INICIOAbdul MisambanoUtapendaje Wawili

Abdul Misambano - Utapendaje Wawili Lyrics


#CHORUS
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii

#VERSE
Usinifiche unipe Ukweli
Niujue undani wakoo
Naona Unanitapelii
Kwa Hivyo vitendo vyako
Usinifiche unipe Ukweli
Niujue undani wakoo
Naona Unanitapelii
Kwa Hivyo vitendo vyako

#PRE-CHORUS
Utapendaje mwenzangu  Wawili
Mpendee Mmoja wapoo
Utapendaje mwenzangu Wawili
Mpendee Mmoja wapoo

#CHORUS
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mimi sijuiii
#VERSE
Mpira huchezwa na wengiii
Na mshindi huwa Ni mmoja
Na sisi mbona tuko wengiii
Ni yupi unae hajaaa
Mpira huchеzwa na wengiii
Na mshindi huwa Ni mmoja
Na sisi mbona tuko wengiii
Ni yupi unae hajaaa

#PRE-CHORUS
Nisitambе mimi kama Kingii
Kumbe wewe umenishusha daraja
Nisitambe mimi kama Kingii
Kumbe wewe umenishusha daraja

#CHORUS
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Unamoyo Mmojaa
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Unamoyo Mmojaa
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mimi sijuiii
#VERSE
Ni yupi alie kunogeaa
Nielezee Bila ya hofu
Shirikaa Mimi sikuzoeaa
Siwezi mi nakuharifu
Ni yupi alie kunogeaa
Nielezee Bila ya hofu
Shirikaa Mimi sikuzoeaa
Siwezi mi nakuharifu

PRE-CHORUS
Aah
Mmoja wapo Mwenzangu chaguaa
Mimi Omy au yule sefu
Mmoja wapo Mwenzangu chaguaa
Mimi Omy au yule sefu

#HOOK
Lalalilaaa

#CHORUS
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mimi sijuiii
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mimi sijuiii
#VERSE
Namalizia Wangu usemi
Mwisho wa yangu kaulii
Kama wewe wanipenda mimi
Yule mwache mwachilie mbali
Namalizia Wangu usemi
Mwisho wa yangu kaulii
Kama kweli wanipenda mimi
Yule mwache mwachilie mbali

#PRE-CHORUS
Ahh mimi na ogopa Ngumii
Ugomvi sitokubali
Omary mimi naogopa Ngumii
Ugomvi sitokubali

#CHORUS
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Itakuwaje Kutupenda wawilii
Nawe wajua Una moyo Mmojaa
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii
Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii

#OUTRO
Aaah Najua utadanganya mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii
Najua utapenda mmojaa
Kama yeye au mm sijuiii

Utapendaje Wawili » Abdul Misambano Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.