Video Kesho Yangu de Acebeatz 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Acebeatz y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Kesho Yangu » Acebeatz Letra

INICIOAcebeatzKesho Yangu

Acebeatz - Kesho Yangu Lyrics


THE DREAMERS KESHO YANGU
Verse ( 1)

Kwanza umeniepusha
Na vingi Vingine sijaona
Tena misukosuko vigingi
Magonjwa nimepona
Wewee Ngao yangu
Niendapo unanikinga
Siijui hatima yangu
Kila muda unanilinda ah

Kwa matendo yako
Sina nikuabudu bwana
We ulie juu umetukuka baba
Na huruma zako
Wache wakusifu yawee
Ulikonitoa nitoa baba
Mavumbini vumbini
Matopeni topeni

Chorus
Keshoo yangu kesho yangu
Waijua wewee
Kesho yangu kesho yangu waijua wewee
Kesho yangu yeah
Kesho yangu yeah
Verse (2)
Twafanya mambo yetu
Chini ya jua
Tumaini ni wewe baba (ni wewe baba)
Ikiwa mimi ulinitambua
Kabla ya dunia kukanyaga
Wingi wa Mali nisiwe kiburi
Nishindwe kutoa misaada
Umasikini isiwe sababu
Nishindwe kukanyaga kwa ibada

Twende tupande Atufikishe kule
Kwenye majanga atutoe
Kwa uwezo wake wewe x2

Chorus
Kesho yangu kesho yangu
Waijua wewee
Kesho yangu kesho yangu waijua wewee
Kesho yangu yeah
Kesho yangu yeah

Kesho Yangu » Acebeatz Letras !!!
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.