Video Tukumbukane de Acitee 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Acitee y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Tukumbukane » Acitee Letra

INICIOAciteeTukumbukane

Acitee - Tukumbukane Lyrics


Unikumbuke Sana takukumbuka tukumbukane iwe kumbukumbu tu unikumbuke takukumbuka tukumbukane iwe kumbukumbu tu

Ninafuta jozi langu ni lini tutaona tena pumzi langu mwendo wa kasi ninapokuwazanga,, kizunguzungu pressure unanipa Mie Amani sina mawazo Tu kwenye ndoto picha zako nakuwaza tu usinifutilie mbali mi bado nakupenda sana wasije kukulaghai wenye wivu kanitenga Mie Ila moyo na Imani tutaonana tena....

Unikumbuke Sana takukumbuka tukumbukane iwe kumbukumbu tu unikumbuke takukumbuka tukumbukaneee iwe kumbukumbu tu

Muda unayoyoma Mie mwenzako nko Hoi lini utarejea angalau nienjoy kama taswira nikuonapo moyo watulia kipenzi changu jeraha la moyo we ndo tiba wangu njoo nikudekeze usije kakosa chochote ama tuvuke border manukato vya bei usikose njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone njoo njoo mgeni njoo mwenyeji nipone

Unikumbuke Sana takukumbuka tukumbukane iwe kumbukumbu tu unikumbuke takukumbuka tukumbukaneee iwe kumbukumbu tu

Tukumbukane » Acitee Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.