Video Oya de Alephmuziki 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Alephmuziki y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Oya » Alephmuziki Letra

INICIOAlephmuzikiOya

Alephmuziki - Oya Lyrics


Eh Oya *4

Oya
Nin unangoja?
Ukimove pamoja toa vioja utapat sio hoja
Oya
Nin inakchocha?
Ati life ina warantee, guarantee
Alarm unaisnooze
Kutitghten noose
Na sio good news boss
None to lose till una less to choose from
It's time to rise uzembe kando
Umerauka au bado? Kaa umerauka ni eh, kama bado ni

Eh Oya*4

Hapana leta machezo kwa watu huleta bidii
Pambana sana kwa watu usiwe tu husaidii
Kanyaga huku na kule haileti bidii
Hatuelewi hio mchezo ni ka kabadii
Mpaka time jua itatua
Nasonga mbele hadi kilele
Im sure tutaitatua
Hakuna vile hatufiki kule
Fcourse mi hutake hatua
Safari iweje swali muhimu ni je?
Umerauka au bado? Kaa umerauka ni eh, kama bado ni
Eh Oya*4

Eh, Ati juu ya masababu
Alafu zou sababisha visababu hubudi kuharibu hesabu
Eih!?
Tuitaji hizo visababu
Sababu zou katanisha mikakati zou sudi kutibu hesabu
Ndio the game
Juu ni poa tu tukubali
Si wote sio the same
Kini hio si ajali
Umoja iwe aim
Juu si ni different pieces kwenye puzzle
Umerauka au bado? Kaa umerauka ni eh, kama bado ni

Eh Oya*4

Oya » Alephmuziki Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.