Video Weekendi de Chris Kaiga 2025 Afro Lyrics

Escucha la música Afro más popular de Chris Kaiga y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Weekendi » Chris Kaiga Letra

INICIOChris KaigaWeekendi

Chris Kaiga - Weekendi Lyrics


Weekendi Lyrics[Intro]
Kaa rada mtu asipite na wako

[Chorus]
Wasee wasee kwani leo form ni gani?
Si tuchafue tuharibu bila amani
Ianze home alafu tumalizie Westi
Hakuna form basi wasee wako 18'
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
[Verse 1]
Ni sato siwezi kosa mpango
Kusuguliwa tiambo ma hips na ma–
Kaa rada mtu asipite na wako
Rada design ya karao saa ya msako
Sema huoni manze vile zimeshika
Kila mtu hapa manze ametingika
Hapa na pale drinks zinamwagika
Dere ako maji, home hatutafika
"Ni saa ngapi? Hapa ni wapi?"
Venye we ni msawa chali yako yu wapi?
Umenibamba design niko happy
Na kenye nadai ni ati ucome nami
Niget chance nikubambе kiasi
Mi na we ni kaa Genge na Juacali
Nikuchеkeshe na mavitu funny
(Nikuchekeshe na mavitu funny)

[Chorus]
Wasee wasee kwani leo form ni gani?
Si tuchafue tuharibu bila amani
Ianze home alafu tumalizie Westi
Hakuna form basi wasee wako 18'
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
You might also like[Verse 2]
Gathee si unajua already ni weekend
Si kashike hadi vidole zikunjike
Maweng ndani ya wallet ni mangire
So kila bash tunaalikwa leo tuko in the–
Hii ni pre-game wacha zi regeste
Ndio by 6 PM tukuwe ma ting de
Pigia mapeng ting waalikwe
Ma pumpum ma slim ting bora ni mashinee
Fare itumwe wakifika wakaribishwe
Leo ma tortoise zinaparty na mafisi
Ingia online itishwa delive
Mizinga ka nne na packet ya minute maid

[Chorus]
Wasee wasee kwani leo form ni gani?
Si tuchafue tuharibu bila amani
Ianze home alafu tumalizie Westi
Hakuna form so wasee wako 18'
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi
Ni weekendi lazima leo niwashe
Ni weekendi lazima leo nimedi

Sawa

Weekendi » Chris Kaiga Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.