[Intro: Marioo & Alikiba]
(Instrumentals)
Yeah
He-he-he
Ooh
Ooooh
Yo!
Mmmmh
Mmmmh
Mmh (Lex Vibe)
[Verse 1: Marioo]
Ah, nipende sana 'mi nataka wale
Walo sema kwamba utaniacha wanune
Tupendane yaani mpaka wale
Wanaosubiri tuachane wachunde
Acha wakae vikao wamalize waganga
Yanawashinda ya kwao waone kama waganga
Hao, hao
Hatuli hatulali kwao unawaponza uganga
Huoni hata sura zao 'mbaya, ah
[Pre-Chorus: Marioo]
Wananitaka mi siwataki nakutaka wewe tu
Wakinifata nakimbia nakufata wewe tu
Asa we ukitaka mi nilie 'amua wewe tu
Ama nitoke hadharani niseme
[Chorus: Marioo]
I love you
I love you
I love you
I love you
Oooh
Mmmh, yeah
Ooh
[Verse 2: Alikiba]
Ai...
I love you
Oooh
Oh, woah
Ndagukunda
Je t'aime
Te amor
Te quiero
Jеg elsker deg
Honеy, ich liebe dich, nakupenda
Oh!
Kila siku nikikuona nakuona mpya
Ah!
Kila siku nikikuona nakuona we mzuri wewe
Ah!
Kila mara yako wewe naona tamu, tamu
Hapa bado namuomba Mungu wa mwisho uwe ni wewe
[Pre-Chorus: Alikiba]
Ai!
Wanaonitaka mi siwataki nakutaka wewe tu
Ai! (Tu)
Wakinifata nakimbia mbio nakusaka wewe Tu!
Hata ukitaka mi nilie 'utaamua wewe tu
Tu!
Hata ukitaka nitoke hadharani (Ndio)
Nitangaze ya kwamba
[Chorus]
I love you
Ooh
I love you uuh I love you
I love you
I love you bora niseme you know I love you
I love you
Oooh! yeah
Ooooooh
I love you
Ooooh ooh
Mmmh yeah
[Outro]
The Mix Killer