Video Chanda Chema de Abbah Process 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Abbah Process y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Chanda Chema » Abbah Process Letra

INICIOAbbah ProcessChanda Chema

Abbah Process - Chanda Chema Lyrics

Abaaaaah

Verse 1; (Darassa)
Tell me now what you do for the love (What you do for the love)
Give it up, Give it up for the love (Give it up for the love)
Sijali unapakwa ina, Unapaka poda/
Fanya mambo yako, nakungoja/
Moyo umeshataka, mi nafata order/
Huwezi kukata kiu, Maji kwa kisoda/

Pre-Chorus; (Darassa)
Message sent, Shika kamata
Kama unataka mapenzi, Yako hapa
Mchaka mchaka, Chapa chapa
Wakituona, wanatapatapa
Umeweka kambi maeneo haya
Wanasema ua zuri limeota pabaya
Never die, Never expire
Tusichezee mapenzi ya moto Fire

Chorus; (Marioo)
Na Kama mapenzi safari, Mi kwako nshafika nakokwenda/
Au kama bahari, Ohhh basi njifunze kuogelea/
Na unge kwa mchezo usiwe kamali, Au kubeba maji kwenye tenga/
Leo mbele yako nakula kiapo/
Wallahi mie
Sina mwengine tena, Wa kufanya nicheke/
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete/
Wallahi mie
Sioni mwengine tena, Wa kufanya nicheke/
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete/
Aaaah.. Mmmmh
Verse 2; (Darassa)
Tell me now what you do for the love (What you do for the love)
Give it up, Give it up for the love (Give it up for the love)
Kwenye miiba nachechemea for my woman/
Bahari nitaogelea for my woman/
A real man cares for the woman/
Na naweza kukosea kama human/
Ntakufanyia Changes/
Ntakupatia mapenzi/
Nitakutungia tenzi/
Nikuimbie/
Nikusifie, Ujisikie/
Uko na mie, Sogea nikwambie/
Siwezi acha kiti chako, mtu akalie/
Siwezi vunja moyo wako, sitaki uumie/
Yes I do, Am telling the truth/
My heart, My love, All I give it to you/

Chorus; (Marioo)
Na Kama mapenzi safari, Mi kwako nshafika nakokwenda/
Au kama bahari, Ohhh basi njifunze kuogelea/
Na unge kwa mchezo usiwe kamali, Au kubeba maji kwenye tenga/
Leo mbele yako nakula kiapo/
Wallahi mie
Sina mwengine tena, Wa kufanya nicheke/
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete/
Wallahi mie
Sioni mwengine tena, Wa kufanya nicheke/
Na kama chanda we ndo chema, Cha kuvikwa na pete/
Aaaah.. Mmmmh
Bridge; (Darassa)
Tell me now what you do for the love (What you do for the love)
Give it up, Give it up for the love (Give it up for the love)
Eeeeh
Shika kamata
Yapo hapa
Chapa chapa
Wakituona, wanatapatapa
(The mix killer)
Never die, Never expire
Tusichezee mapenzi ya moto Fire

Abbah

Chanda Chema » Abbah Process Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.