Umefanya Jambo maishani mwangu
Umetenda jambo maishani mwangu
Kama Mungu ungekuwa binadamu
Mi singekuwepo
Najua pasipo na wewe singeweza Baba
Tena najua kama si neema yako
Singemudu baba
Mimi najua na najua utatenda tena
Hauchelewi haudanganyi utatenda tena
Umefanya Jambo maishani mwangu
Umetenda jambo maishani mwangu
Kama Mungu ungekuwa binadamu
Mi singekuwepo
Ujibuye maombi ya wanyonge
Usikiaye kilio cha wana wako
Wewe Mungu mtetezi wa watu wako
Mungu wa hana, utatenda tena
Mungu wa eliya, utatenda tena
Hauchelewi utatenda
Tenda tena na tena na tеna na tena
Umefanya Jambo maishani mwangu
Umetеnda jambo maishani mwangu
Kama Mungu ungekuwa binadamu
Mi singekuwepo
Umefanya Jambo maishani mwangu
Umetenda jambo maishani mwangu
Kama Mungu ungekuwa binadamu
Mi singekuwepo