Video Unastahili Kuabudiwa Worship Medley de Abbey Mickey 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Abbey Mickey y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Unastahili Kuabudiwa Worship Medley » Abbey Mickey Letra

INICIOAbbey MickeyUnastahili Kuabudiwa Worship Medley

Abbey Mickey - Unastahili Kuabudiwa Worship Medley Lyrics


Unastahili kuabudiwa
Unastahili eh eh eh eh
Unastahili kuabudiwa
Unastahili eh

Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Yesu
Unastahili kuabudiwa
Unastahili eh


Mwingine kama wewe baba
Mimi sijapata ooh ooh
Kama wewe eh Baba
Mimi sijapata
Mwengine kama wewe
Kama wewe kama wewe
Sijapata wuuh
Kama wewe eh Baba
Mimi sijapata

Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Yesu
Unastahili kuabudiwa
Unastahili eh
Huruma zako na neema
Zimenitosheleza
Huruma zako na neema
Zimenitosha
Huruma zaaaako
Zimenitosheleza
Huruma zako na neema
Zimenitosha zimenitosha
Baba eh eeeh

Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Yеsu
Unastahili kuabudiwa
Eh

Ni nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwenginе mwengine
Kama wewe, hakuna
Naaani kama wewe Bwana
Hakuna hakuna
Mwengine kama wewe
Hakuna
Unastahili Baba
Yeah yeah yeah

Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Yesu
Unastahili kuabudiwa
Eh
Ni wewe ni wewe Bwana
Ni wewe eeh ni wewe Bwana
Oooooh
Eh ni wewe Bwana
Ni weweeeee
Bwana mponyaji wangu
Ni weweeeee
Kimbilio langu
Msaada wangu ni wewe
Tegemeo langu ni wewe
Unastahili eh

Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Yesu
Unastahili kuabudiwa
Eh

Unastahili kuabudiwa
Unastahili ewe Yesu
Unastahili kuabudiwa
Eh

Unastahili Kuabudiwa Worship Medley » Abbey Mickey Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.