Video Mtoto Wakiafrica de Ab Kale 2025 Lyrics Lyrics

Escucha la música Lyrics más popular de Ab Kale y otros artistas en línea. Disfruta de las mejores canciones de 2025 en Musicas-Cristianas de música en línea. ¡Encuentra tu canción favorita y escúchala en cualquier momento y en cualquier lugar!

Video Mtoto Wakiafrica » Ab Kale Letra

INICIOAb KaleMtoto Wakiafrica

Ab Kale - Mtoto Wakiafrica Lyrics


Chorus:
Mtoto wakiafrica nakupenda- jinsi Olivyo umbika ni wewe tiu
Macho yako wewe- unavyo ya rembua Mimi kwako kweli ni meditate
Verse 1
Ni wewe nikupendaye- wangu ulo na thamani
Na ndiwe unifaaye- mjuzi kwenye makini
Katu sikuachi miye- wakerekao poleni
Chorus
Verse 2
Mimi nakutaja wewe- wangu baby mahashumu
Simuoni mwenginewe- na hili piya fahamu
Hata sumu tuekewe- mi nawe hadi kiyamu
Chorus
Verse 3
Basi imani fanyiza- unitowe kwenye taabu
Usiwe unaniliza- mpenzi wangu swahibu
Ukini fanyia iza - mwenzio wani adhibu
Chorus
Verse 4
Moyo wangu umependa - uwe wangu laazizi
Usini fanyie inda -jicho likatowa chozi
Hebu sema wanipenda - niridhike nalo Penzi
Chorus
End

Mtoto Wakiafrica » Ab Kale Letras !!!
ANUNCIOS PUBLICITARIOS
Esta sitio web no aloja ningún tipo de archivo audio o video© Musicas-Cristianas 2025 España | Chile - Argentina - México. Todos los derechos reservados.

Escuchar músicas enlinea gratis, 2025 Escuchar Música Online, Música en Línea 2025, Música en Línea Gratis, Escuchar Música Gratis, Música Online 2025, Escuchar Música

Música 2025, Música 2025 Online, Escuchar Música Gratis 2025, Músicas 2025 Gratis, Escuchas top, Música de Moda.